×

Kutana na Msauzi Anayeipenda Global TV Online Kuliko Maelezo- Video

GLOBAL TV ONLINE imezidi kupenya na kutanua wigo wake kila kukicha kwa kujiongezea mashabiki kutoka pande zote za dunia, ukiachilia mbali wanasoka maarufu wanaoifuatilia Global TV wakiwemo JJ Okocha, wamo mastaa wa muziki, wanasiasa na mashabiki wengine.

 

Leo tumekutana na Shabiki wetu kindakindaki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Thabo Mbeki nchini Afrika Kusini ambaye anasema anaipenda na kuifuatilia Global TV Online kuliko kitu chochote.

Msikie hapa anachokizungumza, usisahau kuu-Subscribe Global TV Online.