
MSANII wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz leo ameamua kufanya kitu cha kipekee katika wiki ambayo anakumbuka siku yake ya kuzaliwa ‘Birthday’ kwa kutoa bima za afya kwa watu 1000, mitaji kwa akina mama wasiopungua 200 wa Tandale.

Aidha, msanii huyo ametoa bodaboda 20 kwa vijana ambao hawana ajira pamoja na kukarabati baadhi ya shule za maeneo ya nyumbani kwao Tandale.

PICHA: RICHARD BUKOS | GPL