
Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini, Pauline Gekul, amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na Chama Cha mapinduzi (CCM).
Barua yake ya kujivua uanachama inafuata chini:
