Duka la Splash liliopo Msasani Mall Latoa Promosheni ya Wikiendi Bonanza
Global Publishers October 27, 2018
SHARE THIS:
Meneja wa Kampuni ya GSM Mlimani City, Badra Sheikh, akionyesha nguo zinazouzwa katika duka la Splash liliopo Msasani Mall Dar es Salaam jana wakati wa kutangaza punguzo maalumu la bei.Badra Sheikh, akionyesha nguo mbalimbali zinazouzwa kwenye duka hilo.Msanii wa Bongo Fleva Chege Chigunda akichaguo nguo katika duka la Splash liliopo Msasani Mall Dar es Salaam jana wakati wa kutangaza punguzo maalumu la bei.Chege akijiandaa kuzungumza na wanahabari.