
USIKU wa kuamkia leo umati wa mashabiki wa burudani ulifurika ndani ya Ukumbi Masai Club uliopo Meridian Hotel Mwananyamala jijini Dar kupata uhondo wa burudani kutoka bendi ya Bogos Musica ‘El Classico’ Nyumba ya Baba. Katika onyesho hilo bendi hiyo iliweza kufanya kweli na kuwaacha mashabiki wakiwa wametosheka na burudani hiyo.
Matukio katika Picha:

Redock Mauzo (kushoto) na Ziggy Stone wakiwajibika.





Prezidaa Msaidizi wa FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ Maluu Stonch akiwa na mwandish na mdau wa burudani, Rhobi Chacha.