Mwenyekiti wa CHAUMA, Hashimu Rungwe amefunguka kuhusu masuala mbalimbali nchini ambayo yametokea kwa kpindi cha majuma kadhaa nyuma ikiwemo sakata la korosho, mapenzi ya jinsia moja na hali ya kisiasa nchini.