×

Wiz Khalifa Atoa Video ya ‘Holyfield’ – VIDEO

RAPA Wiz Khalifa ametoa video ya mpya ya wimbo wake wa ‘Holyfield’ unaopatikana katika albam ya Rolling Paper 2 ambayo iliyotoka Julai 12 mwaka huu.

Wiz yupo tayari kutoa albam yake ya kwanza ya R&B ambapo amethibitisha hayo pindi alipokuwa kwenye mahojiano na Power 106 kwenye kipindi cha The Cruz aliposema tayari ameshaandika nyimbo 20 na zote ‘ameimba’.

Video ya Holyfield ipo hapo chini.