×

FEROOZ Kushiriki Wasafi Festval “Kipaji Changu Hakifi” – Video

Msanii wa Bongo Fleva, Ferooz amesema kuwa kwa sasa ushindani wa muziki umekuwa juu sana ukilinganisha na kipindia cha nyuma na ambapo watu wanaojihusisha na muziki ni wengi sana hivyo inakuwa ngumu watu kujua au kutambua nini unakifanya kwa wakati huo.

 

Akipiga Stori na Global TV Online, Ferooz amesema kuwa kwa sasa anatamani sana kushiriki Tamasha kubwa la Wasafi Festival japo bado haijawa rasmi kushiriki katika tamasha hilo.

MSIKIE HAPA AKIFUNGUKA LIVE