RAIS DKT. SHEIN, AZUNGUMZA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA UN NAIROBI
Global Publishers November 27, 2018
SHARE THIS:
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa UN,anayeshughulikia Mazingira Bi. Joyce Msuya, alipowasili katika ukumbi wa hoteli ya Inter Continental, kwa mazungumzo, kulia Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Dkt. Pindi Chana.RAIS wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Kaimu Mkurugenzi wa Umoja wa Mataifa (UN) ayeshughulikia Mazingira Bi. Joyce Msuya, (kushoto) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Inter Continental Jijini Nairobi Nchini Kenya wakihudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi Endelevu wa Bahari (Blue Economy).Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi Endelevu wa Bahari (Blue Economy).