×

SPORTPESA YAZIDI KUPAMBA MOTO; YATOA BAJAJ KWA MSHINDI

Timu ‘Shinda Zaidi na SportPesa’ imebahatika kumpata mshindi mwigine mwanamama akiwa ni mwanamke wa tatu kujishindia Bajaj kutoka Goba,  jijini  Dar es Salaam.

Mshindi huyo ni Petronila Sirinya, aliyepatikana katika droo ya 64 ambapo alibashiri na moja kwa moja na kuingia kwenye droo ya Shinda Zaidi na SportPesa na kujishindia Bajaj Re kutoka SportPesa.

Mshindi huyo alisema alianza kushawishika kucheza SportPesa baada ya kuona jinsi watu wengine wanashinda kwenye promosheni  hiyo ndipo na yeye akuchukua uamuzi wa kuanza kucheza kuutafuta ushindi.

“Nimeufurahia ushindi huu, sijawahi kushinda kabisa.  Mimi ni mama wa nyumbani sikufikiri kama ningeshinda lakini Mungu kanisaidia sasa nitaweza kumudu mahitaji yangu kutoka kukaa nyumbani mpaka kumiliki Bajaj yangu.  Ni baraka kubwa sana kutoka kwenu SportPesa, ” alisema Petronila.

Aidha Petronila alisema kipato atakachopata kupitia Bajaj hiyo kitamsaidia kujiendeleza kielimu zaidi huku pesa nyingine ataziwekea mipango mizuri kumwezesha mtoto kusoma shule nzuri.

“Najua hata mume wangu atakuwa ameshawishika sasa maana wakati nacheza alikuwa ananiambia shauri yako unapoteza pesa zako lakini baada ya kushinda yeye ndiye ananisisitiza niendelee kucheza.  Kweli ushindi una raha yake!” alisema Sirinya.

Pia aliipongeza SportPesa kwa kutoa huduma bora kwa wateja wake sambamba na kuwajali kwa kuwatumia pesa za ushindi mara baada tu ya mechi kumalizika, huku akiweka wazi mikakati yake ya kuanza kusaka mtonyo wa Jackpot.

Kutoka SportPesa, Meneja Uhusiano,  Sabrina  Msuya,  alisema kampuni yetu ina huduma mbalimbali ambazo mteja akicheza anaweza kujishindia pesa ambazo anapata mara baada ya kuweka ubashiri wake na kujishindia Bajaji, simu-janja na jezi orijino za Simba na Yanga.

“Wiki hii Jackpot yetu imepanda mpaka shilingi 403,525,820/= kwa mteja atakayebashiri kwa usahihi mechi kumi na tatu, na kuzawadiwa bonasi kwa watakaobashiri kwa usahihi kuanzia mechi kumi hadi kumi na mbili.