×

Nafasi za Kazi: Meneja Masoko na Mhariri wa Mwanaspoti – Mwananchi

Kampuni ya Magazeti ya Mwananchi imetangaza nafasi ya kazi kwa Regional Sales Manager,  Drivers na Feature Editor for Mwanaspoti Newspaper, tuma maombi yako kabla ya Desemba 1, 2018.