KITUO CHA NAMANGA KILIVYOFUNGULIWA NA MAGUFULI, KENYATTA – VIDEO
Global Publishers December 1, 2018
SHARE THIS:
Rais John Magufuli NA Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta (katikati) wakielekea upande wa mpaka wa Tanzania baada ya ufunguzi wa kituo cha kutoa huduma — One Stop Border Post (OSBP) — kwa pamoja upande wa Kenya. Magufuli akizungumza jambo na watoto wawili kutoka Kenya waliofika kumpokea katika kituo hicho upande wa Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na Uhuru Kenyatta wa Kenya leo wamezindua kituo cha pamoja cha huduma ya forodha Namanga Arusha — One Stop Border Post (OSBP) — ambacho kitasaidia kufanya biashara kati ya Tanzania na Kenya.