×

JPM Afanya Uteuzi Shirika la Nyumbu

Rais Magufuli amefanya Uteuzi wa Mwenyekiti wa Shirika la Nyumbu na Kamishna wa Fedha na Utawala wa Zimamoto.

BREAKING: RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MPYA!