×

‘MAHAKAMA’ Yamfungia Maisha Mwamuzi MECHI YANGA VS TZ PRISONS -Video

KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera aliangua kilio baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Prisons, jambo lililowaacha njiapanda mashabiki wake kushindwa kuelewa ni machozi ya furaha ama amekumbwa na tatizo linalomnyima raha na kufanya ashindwe kujizuia.