
KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho, amesema hafi kirii kama timu yake inaweza kumaliza kwenye nne bora msimu huu.
Kocha huyo amefanikiwa k u i o n g o z a United kushinda michezo sita tu kati ya 13 na ameshasema kuwa itakuwa miujiza kama wao watategemea kufuzu Ligi ya Msabingwa Ulaya kwa kutumia njia ya kumaliza nne bora kwenye ligi.
Kwa sasa timu hiyo ipo pointi nane nyuma Arsenal ambao wapo nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu England. “Itakuwa miujiza kama kweli sisi tutamaliza kwenye nne bora msimu huu, hili ni jambo gumu sana kuweza kulifi kiria,” alisema Mourinho.
United hawajafanikiwa kupata ushindi wowote kwenye ligi kuanzia Novemba 3 mwaka huu na b a d o w anaonekana kwenda kwa mwendo wa kusuasua kwenye ligi hiyo. Jumapili iliyopita walipata sare ya mabao 2-2 na Southampton baada ya kutoka nyuma kwa mabao 2-0