×

Alikiba Ameshirikishwa Na Kijana Wake Kwenye ‘Masozy’ Video Mpya

 

Toka kwenye lebo ya Kings Music, ‘Cheed‘ ameileta video mpya ‘Masozy‘ aliyomshirikisha Boss wake Alikiba pamoja na K-2GA.

 

Video imeongozwa na Kevin Bosco Jr, audio imetengenezwa na Combination Sounds.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.