×

SHANGWE ZA WASAFI FESTIVAL MWANZA USIPIME CCM KIRUMBA! (Picha +Video)

USIKU wa kuamkia leo Tamasha la Wasafi Festival lilofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Baadhi ya wasanii watakaotumbuiza katika tamasha hilo ni Diamond, Harmonize, Rayvanny, Dudu Baya, Country Boy, Lava Lava, Young Killer, Chin Bees, Mbosso, Queen Darling na wengine kibao.

Msanii Chin Bees akifanya yake jukwaani kwenye Tamasha la Wasafi Festival lilofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

 

Young Dee aliwarusha kinoma mashabiki
Konki Master akisalimiana na mashabiki wake wa Mwanza
Dulla Makabila akiwarusha wapenzi wa singeli
Gigy Money akifanya yake jukwaani
Young Kila akiwa na mama yake mzazi jukwaani
Young Killer akifanya yake jukwaani
Rayvanny akiwarusha mashabiki jukwaani
Rayvanny na Konde Boy (Harmonize) wakiwa jukwaani
Diamond akikamua kwa hisia jukwaani.
Staili aliyopanga nayo Young Killer jukwaani usipime! Kama mfungwa vile…

PICHA: RICHARD BUKOS | GPL