×

BREAKING: Polisi Wafanya Ziara ya Kushtukiza Kisiwa cha Mbudya Leo

Katika kuhakikisha Raia wa Tanzania wanaishi kwenye hali ya usalama huku vitendo vyote vya kihalifu vikithibitiwa vilivyo, Jeshi la polisi kupitia vikosi kazi vya usalama majini na nchi kavu  leo vinafanya ziara katika visiwa sita vilivyo pembezoni mwa jiji la Dar es salaam. Global tv online inakuletea moja kwa moja kinachoendelea katika ziara hiyo inayofanya Bahari ya Hindi na jeshi hilo la polisi.