
Rais Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka. Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa SSRA utafanyika baadae.Irene Isaka atapangiwa kazi nyingine.
