SHANGWE la ALIKIBA Akipafomu KADOGO, Utaipenda! – VIDEO
Global Publishers December 30, 2018 4,608 views
SHARE THIS:
Moja kati ya ngoma zinazopendwa sana kwa sasa kutoka kwa Mfalme wa Bongo Fleva, Alikiba,ni ngoma yake mpya ya ‘KADOGO‘, ambayo ameipafomu laivukwenye usiku wake wa Kufunga Mwaka uliofanyika Desemba 29, katika ukumbi wa Next Door Masaki.