×

SUPRISE ya Aslay, Beka kwenye Party ya DJ wa KIBA – VIDEO

Wanamuziki Aslay na Beka Flavour wamemfanyia Sapraizi Dj wa ALIKIBA anayeitwa Dj Feruu kwa kuibuka kwenye Birthday Party yake iliyofanyika usiku wa Januari 6, maeneo ya Tabata.