Nchini Burkina Faso katika kipindi cha utawala wa kampeteni Thomas Sankara, mambo yalikuwa shwari mno na hasa hiyo ilitokana na uzalendo wa rais huyo anayetajwa katika historia kuwa ni mmoja wa wapambanaji na wamfano barani Afrika.
Lakini hatma ya rais Sankara ni kuuawa kikatili tena na rafiki yake kipenzi kampten Blaise Compaore, hali iliyomfanya Compaore kushika nchi hiyo na kuiongoza kwa miaka 27.
Global Tv imekuletea historia ya kiongozi huyo.