Katika mahusiano kuna vitu vingi vya kufanya ili mahusiano yenu yadumu muda mrefu bila kuwa na shida.
unaweza kuwa na mpenzi na mkaishi muda mrefu kama endapo utaweza kuchanganua mambo taratibu bila kumkera mwenza wako.
uwazi na ukweli ni kitu kikubwa katika mahusiano.
