
Rapa Lil Wayne ameileta video ya wimbo wake mpya Don’t Cry akiwa na marehemu XXXTentacion.
Wimbo huo unapatikana kwenye album ya Lil Wayne, ‘Carter V’
Video imeongozwa na Jay na Georgio Rodriguez
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.

