Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limeyafuta matokeo ya watahiniwa 57 wa Shule ya Sekondari ya Tumaini Lutheran baada ya kubainika kuwa walifanya udanganyifu wa mtihani wa taifa wa Kidato cha Nne, Novemba 2018.