Katika kipindi cha ‘USHUHUDA WANGU’ wiki hii tunae kijana anayeitwa Abeid Makarabo, mkazi wa Tabora, Kaliua ambaye ana ushuhuda wake mzito uliojaa misukosuko ya maradhi ikiwemo ugonjwa wa TB ya uti wa mgongo.