×

ZJ: Cheki Mwanamke Anayetunisha Misuli Kuliko Wanaume! – VIDEO

Mashindano ya kutunisha misuli muda wote yanaonekana ni jambo ambalo linafanywa na wanaume lakini Mwanadada huyu kutoka Malawi, Doreen Mkumbatira, ameondoa dhana hiyo pale aliposhiriki mashindano hayo kule Afrika Kusini na kushika namba tano.