ALIYEKUWA MKURUGENZI MTENDAJI WA (CRDB) DK. KIMEI ALIVYOAGWA RASMI
Global Publishers January 28, 2019
SHARE THIS:
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela akizunguma katika hafla hiyo wakati akitoa hotuba ya kumuaga Mkurugenzi Mtendaji wa zamani Dk. Charles Kimei.Aliyekuwa Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akizungumza katika hafla hiyo.Aliyekuwa Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei na mke wake wakipokea mfano wa funguo ikiwa ni zawadi ya gari aina ya Toyota Land Cruiser GX kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo Bw. Ally Laay akishuhudia.Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo Bw. Ally Laay akizungumza katika hafla hiyo.Aliyekuwa Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei na mke wake wakpokea picha yenye matukio mbalimbali kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo Bw. Ally Laay na Mkurugenzi wa Benki hiyo Bw. Abdulmajid Nsekela.Hafla ikiendelea.Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei na mke wake wakikata keki huku Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo Bw. Ally Laay kulia na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Abdulmajid Nsekela wakishuhudia.Hafla ikiendelea.Baadhi ya wafanyakazi na wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo.Baadhi ya wanafamilia wa Dk. Charles Kimei.Sherehe ikinoga.Aliyekuwa Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei , Mkewe na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela wakikata ndafu huku Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo Bw. Ally Laay akishuhudia.