Katika kipindi cha Mpaka Home wiki hii tumemtembelea Mwanamuziki na mbunifu wa mavazi, Q Boy Msafi, anayeishi Sinza Mori na tumekuoneshea maisha yake halisi kuanzia nje ya nyumba anayoishi mpaka ndani.