×

BABU AKIONA CHA MOTO Anaswa na Denti Wakifanya Mapenzi – Video

Dunia kuna mambo! Babu mmoja aliyejulikana kwa jina la Dotto, Mkazi wa Kitangini kata ya Chanika jijini Dar es salaam, amekumbwa na aibu ya mwaka na kukiona cha moto baada ya kunaswa kwenye jumba bovu na denti wa kidato cha kwanza (shule na jina vinahifadhiwa) akidaiwa kutaka kuvunja naye amri ya sita.

Babu huyo alinaswa hivi karibuni baada ya kuwekewa mtego ambapo alinaswa hivi karibuni baada ya kuwekewa mtego kwenye jumba hilo ambalo halijaisha akitaka kufanya mapenzi na mwanafunzi huyo.