×

MUSUKUMA: Dhahabu Siyo Korosho, Tusiiwekee Masharti Kabisa! – Video

MBUNGE wa Geita, Joseph Kasheku ‘Msukuma‘ ameishauri serikali kuondoa baadhi ya masharti yaliyowekwa kwa wanaoingiza madini ndani ya nchi kutoka nje, ili dhahabu iwe huru kama pesa.