×

KIKOSI CHA AZAM KILIVYOTUA TAIFA KUKIPIGA NA SIMBA

Kocha wa timu ya Azam, Hans Pluijm akishuka katika basi la timu yake Uwanja wa Taifa.

Timu ya Azam FC imetua kibabe  kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam  kucheza dhidi ya Simba ukiwa ni mchezo wao wa kwanza kukutana msimu huu katika ligi kuu.

Simba inaingia katika mchezo dhidi ya Azam FC ikiwa na viporo vya mechi nane hadi sasa kwenye ligi hiyo baada ya kucheza mechi 17 na kupata pointi 42, Yanga ikiwa na michezo 25 na pointi 61, Azam ina mechi 24 na pointi 50.

Kocha Msaidizi wa Azam FC Juma Mwambusi.
Mshambuliaji wa Azam FC raia wa Zambia, Obrey Chirwa.
Mshambuliaji wa Azam, Donald Ngoma.