
90+1 Kagere nje ndani Salamba Zinaongezwa dakika 4
90 zinakamilika
89Zana anachezewa rafu na Paul Nonga88 Kona kwa Simba Boco anapiga kichwa Kagere anamalizia goli boco anacheza faulo linakataliwa.
87 Mpira wa kwanza wa Niyonzima anatoa pasi kwa Mzamiru
84 Niyonzima anaingia anatoka Chama
82 Manula,Kagere anapiga shuti linakwenda nje
81 Dilunga anakosa nafasi ya wazi akipewa pasi na Chama 80 Offside ya pili kwa Lipuli
79 Bocco Ofiside78 Kagere anachezewa rafu Zimbwe anapiga faulo Bocco anaotea.
77 Zimbwe, Kagere anadhibitiwa.
76 Lipuli wanapiga kona inapotezwa
75 Zana,Wawa , Zana ,Wawa, Zana anaanua majalo
74 Saliboko, Yusuphu, Wawa. Zana
73 Sonso anapiga chenga za hatari Kagere anaupata mpira anapiga paisi inapotea.
67 Bocco anachezewa rafu kwa kupigwa kiwiko Paul Ngalema anaonyeshwa kadi nyekundu anatolewa nje.
66 Manula, Paul, Soliboko, Ngalema,
65 Keneth Masumbuko anatoka Seif Karihe wa Lipuli.
60 Shuti la kwanza la Dilunga linakuwa on target
59 Okwi anatoka anaingia Dilunga
57 Chama, Okwi, Kagere akachop kwa guu a kulia ndani 55. Nonga, Karihe, Ngalema, Fredy, William Galax anajaza ndani inakataliwa na Zana.
54 Boco anampa Chama, Kagere anapiga kichwa kinakwenda nje 53 Faulo anapiga Chama, Zana, Mlipili anapiga kichwa kinatoka nje.
55. Nonga, Karihe, Ngalema, Fredy, William Galax anajaza ndani inakataliwa na Zana.
54 Boco anampa Chama, Kagere anapiga kichwa kinakwenda nje 53 Faulo anapiga Chama, Zana, Mlipili anapiga kichwa kinatoka nje.
52 Zana Chama, Bocco anapoteza, Kadi ya njano Seif Karihe.
50 Mohamed Yusuphu, Nonga, Wawa anatoa mpira nje, Ngalema, Jimy unatoka nje.
49 Nomga anapew huduma ya kwanza baada ya kugongana na Wawa.
48 Zana anamwaga maji yanatolewa nje na Shamte, Kona inapigwa na Okwi inatoka nje.
Kipindi cha pili
Mpira kwa sasa ni mapumziko
Zinaongezwa dakika 3
45 Lipuli wanaotea 43 Chama anapiga bao la pili kwa free kick.
42 Manula, Yassin anachezewa faulo karibu na eneo la hatari.
40 Shamte, Zimbwe,Owi anachezewa faulo karibu na eneo la hatari.
38 ManulaMohamed Yusuphu anaunyaka
35 Chama anajaza maji yanakosa mchezaji kat 34 Karihe anacheza faulo kwa Mzamiru 32 Lipuli wanapiga kona ya nyingine
31 Faulo kwa Lipuli na Haruna Shamte inakuwa kona. 30 Zana anamwaga kubwa inatoka nje 29 Kona ya kwanza kwa Simba anapiga Okwi anampa Zimbe anajaza ndani inatoka nje.
32 Lipuli wanapiga kona ya nyingine
31 Faulo kwa Lipuli na Haruna Shamte inakuwa kona. 30 Zana anamwaga kubwa inatoka nje 29 Kona ya kwanza kwa Simba anapiga Okwi anampa Zimbe anajaza ndani inatoka nje.
28 Mlipili anamchezea rafu mchezaji wa Lipuli, unarushwa kwenda kwa Manula.
27 Okwi anapiga pembeni kichwa cha Kagere.
25 Mkude,Zimbwe, Kagere Yusuphu anaunyaka.
24 Okwi anajaribu mpira unatoka nje, Karihe, Zana, Chama unatolewa nje.
22 Okwi anapenyeza inaishia mikononi mwa mlinda mlango wa Lipuli.
17 Paul Nonga anasawazisha bao akiwa nje ya 18 15 Okwi anapaisha faulo 13 Kagere anachezewa faulo karibu na eneo la hatari, kadi ya njano kwa Haruna Shamte.
12 Lipuli wanapasiha faulo inakwenda mawinguni.
11 Lipuli wanacheza faulo na Mlipili
10 Chama, Zana, Chama anajaza mpira unaishia kwa nlinda mlango wa Lipuli.
09 Wawa anaaotea, Manula, Zimbwe, Mlipili, Karihe anapiga nje mpira.
13 Kagere anachezewa faulo karibu na eneo la hatari, kadi ya njano kwa Haruna Shamte.
12 Lipuli wanapasiha faulo inakwenda mawinguni.
11 Lipuli wanacheza faulo na Mlipili
10 Chama, Zana, Chama anajaza mpira unaishia kwa nlinda mlango wa Lipuli.
09 Wawa anaaotea, Manula, Zimbwe, Mlipili, Karihe anapiga nje mpira.
Dakika ya tano Zimbwe anatoa pasi safi inamfikia Chama kwa pasi ya Okwi aliyecheza faulo.
Kagere anakuwa offised mbili dakika ya pili na ya tatu
Kikosi cha kwanza cha Simba dhidi ya Lipuli FC, saa 10:00 jioni ya leo katika uwanja wa Samora. 1. Manula 2. Coulibaly 3. Mo Hussein 4. Mlipili 5. Wawa 6. Mkude 7. Chama 8. Mzamiru 9. Bocco 10. Kagere 11. Okwi