
MKE wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mama Salma Kikwete, jana aliwasili msibani nyumbani kwa Baba mzazi wa Ruge Mutahaba kwa ajili ya kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Baada ya kufika msibani hapo na kusaini kitabu cha maombolezo kisha kuwapa pole wafiwa, haya ndiyo aliyasema Mama Salma Kikwete kuhusu Ruge.