Mwili wa Aliyekuwa Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba, unaagwa leo Februari 02, katika ukumbi wa Karimjee Posta jijini Dar.