MWILI wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba tayari umefika katika Viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba kwa ajili ya sala, salamu za mwisho na kuagwa kabla ya kuzikwa kijijini kwao.