×

Aliyedai Jambazi Ajisalimisha kwa RPC Muroto, Apokelewa – Video

KIJANA mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Emmanuel amejisalimisha katika Jeshi la Polisi jijini Dodoma na kudai kuwa alikuwa mharifu wa unyang’anyi ‘ujambazi’ ambapo amesema kwa sasa ameamua kuacahana na kazi hyo na kuwa raia mwema.

 

Hayo yamesemwa leo Jumanne, Machi 5, 2019  na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gires Muroto wakati akizungumza na wanahabari na kutoa ripoti mbalimbali ya matukio ya uhalifu mkoani humo na namna ambavyo jeshi hilo hilekuwa likikabiliana nayo.

VIDEO: TAZAMA TUKIO HILO HAPA