×

NAFASI YA KAZI GLOBAL GROUP, MENEJA WA MATANGAZO

GLOBAL GROUP inamtafuta MENEJA mwenye uzoefu wa kutafuta matangazo kwa ajili ya magazeti, TV, Radio, tovuti na mitandao mingine ya kijamii.