
MAGARI ni kati ya vitu vinavyoundwa kwa ubunifu mkubwa zaidi duniani; yamekuwa yakiifanya dunia kuwa sehemu rahisi kufikika kwa haraka ingawa hasa kwenye maeneo yenye barabara tu. Magari si kwa mahitaji la wanaume pekee, hata wanawake wanamiliki magari mazuri na ya kisasa kila siku.
Matokeo yake, kampuni nyingi hivi sasa zimejikita katika kubuni na kuunda magari ya kisasa katika mchakato unaofika hadi mwaka huu — 2019. Baadhi ya magari bora zaidi duniani hadi kufikia mwaka huu ni yafuatayo:
ASTON MARTIN AM-RB 003.

Kasi ya juu: kilomita 402 kwa saa (maili 250 kwa saa)
Bugatti la voiture noire

Kesi ya juu: Kilomita 420 kwa saa (Imetoka moja tu kwa mwaka 2019 na tayari imeshanunuliwa)
FERRARI F8 TRIBUTO

Kasi ya juu: Maili 211 kwa saa
Koenigsegg Jesko

Kasi ya juu: Maili 300 kwa saa
LAMBORGHINI HURACÁN EVO SPYDER

Kasi ya juu: Kilomita 325 kwa saa
MCLAREN SPEEDTAIL

Kasi ya juu: Kilomita 402.3 kwa saa
MERCEDES-AMG GT R ROADSTER

Kasi ya juu: Kilomita 317 kwa saa
PIËCH AUTOMOTIVE MARK ZERO

Kasi ya juu: Kilomita 250 kwa saa
AUTOMOBILI PININFARINA BATTISTA

Kasi ya juu: Kilomita 250 kwa saa
PORSCHE 718 CAYMAN T AND THE 718 BOXSTER T

Kasi ya juu: Maili 170 kwa saa