Kwa kauli Mbiu ya YES WE CAN Baasi TP Mazembe hatoki pale kwa Mkapa siku ya Jumamosi. Msemaji wa Simba Haji Manara atangaza kiingilio cha chini ni elfu nne katika mchezo wake wa robo fainali.