Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Aprili 28, 2019 amejishusha na kuwa muumini wa kawaida na kuamua kukusanya sadaka katika misa takatifu Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya iliyofanyika katika viwanja vya Sokoine.