KIKAO cha 17 cha Mkutano wa 15 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano Tanzania, kinaendelea katika Makao mMakuu ya nchi Jijini Dodoma leo Aprili 29, 2019, ambapo Mawaziri wa wizara mbalimbali wamewekwa kikaangoni kujibu maswali ya wabunge.