×

ZAHERA Afunguka Alivyoiua AZAM – Video

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amefunguka namna alivyokuwa amejipanga kupata matokeo na kuiangamiza timu ya Azam kwa bao 1-0, jana jioni.

 

Mtanange huo uliyopigwa jana katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam ulimaliziaka kwa Azam wakiwa nyumbani kulala kwa bao 1 – 0, mkwaju uliowekwa kimiani na winga Mrisho Ngassa baada ya kumalizia krosi ya Ibrahim Ajibu.

VIDEO: MSIKIE ZAHERA AKIFUNGUKA