×

VIDEO: SHANGWE Lampagawisha Amber Lulu ‘Avua Nguo’ Songea

Video Vixen na Msanii maarufu wa muziki wa Bongo fleva Amber Lulu, Usiku wa Mei 3, 2019 amefanya kufuru ya aina yake katika Uwanja wa Majimaji, Songea, ambapo amefanya shoo ya kufa mtu.

Wakati akifanya shoo AMBER LULU akawasuprise mashabiki wake wa Songea kwa kuvua Nguo Moja na kubakisha Moja, na kucheza wimbo wake wake wa Jini kisirani.