SHIGONGO, MENEJA WA GLOBAL WALIVYOMUAGA DKT. MENGI
Global Publishers May 7, 2019
SHARE THIS:
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Group, Eric Shigongo, Mhariri Mtendaji wa Globla Publishers, Salehe Ally (kulia) wakipita mbele ya jeneza lenye mwili wa Dkt. Mengi kutoa heshma zao za mwisho.
Viongozi wa Global Group leo walikuwa miongoni mwa waombolezaji waliojitokeza kuuaga mwili wa Dkt. Reginald Mengi kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar.
Miongoni mwa viongozi hao ni Mkurugenzi Mtendaji wa Global Group, Eric Shigongo, Meneja Mkuu wa Global Group, Abdallah Mrisho na Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Global Publishers, Saleh Ally.
Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho akitoa heshma zake za mwisho.Mkurugenzi Mtendaji wa Global Group, Eric Shigongo akisalimiana na Mchungaji Rev. Dr. Vernon Fernandes ...Shigongo (kulia) akisalimiana na John Cheyo (kushoto).Gari lililokuwa limebeba mwili wa Dkt. Mengi.