×

Mwili wa Dkt Mengi Wawasili Kijijini Kwao Machame – Video

Mwili wa marehemu Dkt. Reginald Mengi tayari umekwishawasili nyumbani kwake, Nkweseko Machame ambapo mwili utalala kabla ya kesho Kwenda ibadani na baadae mazishi.

 

 

 

TAZAMA MWILI HUO UKIWASILI NYUMBANI