×

MATUKIO KATIKA PICHA MAFURIKO DAR

Hali ilivyoonekana katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam.
Taswira ilivyoonekana katika eneo la Bonde la Mkwajuni Kinondoni.
Mafurio katika eneo la Bonde la Mkwajuni yakiwa yamefurika.
Eneo la Magomeni Mapipa likiwa limefun gwa kwa kamba.
Eneo la Jangwani.