×

Musukuma: Serikali Mnishauri, Nile Nini Ninenepe Kama Nyinyi? – Video

Vituko Bungeni! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mjadala uliozuka Bungenu juu ya watu wenye vitambi, ambapo wabunge wamemuweka kikaangoni Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, kujibu kuhusiana na kuku wa kisasa ambao kwa kiasi kikubwa ndiyo wanaonekana kuchangia vitambi.

MSIKIE MUSUKUMA