RAIS Dkt John Pombe magufuli amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, kumsimamisha kazi RCO wa Morogoro kutokana na baadhi ya Wakurugenzi wa Kiwanda cha Tumbaku kunyanyaswa, kukamatwa, kuwekwa ndani na kuachiwa bila kufunguliwa kesi.