×

BALAA LA MZEE WA BWAX STEJINI DAR LIVE IDD PILI (PICHA +VIDEO)

Msanii wa Singeli, Mzee Wa Bwax akiongea na mashabiki Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar live.

Mashabiki wa burudani haswa wapenzi wa muziki wa singeli usiku huu katika kusherehekea  Siku Kuu ya Idd Pili wamepata bonge la burudani kwenye Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar live  kutoka kwa Mzee Wa Bwax katika onesho maalum la usiku wa Ray Vanny.

…akifanya yake Stejini.

PICHA NA RICHARD BUKOS, GPL